Lost Meridian
Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu.
Kupitia app ya Momoa:
? Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash)
? Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja)
? Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja)
?? Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu
? Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa.
⏮ Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku.
✍️ Wakala anaweza kuedit float au Cash. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank.
∞ Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao.
? Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka.
?Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (call or whatsapp)
What's New in the Latest Version 1.1.1
Last updated on Dec 5, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Translation Loading...-
炉石传说31.2.2补丁更新内容
9.9 -
How is the original god Xitela Li? Introduction of the original god Xitela Li character
9.8 -
How to play the Collapse Star Railway on the eighth day? Introduction to the Collapse Star Railway on the eighth day
8.8 -
Where is the big candle in Sky: Children of the Light 11.26?
9.8 -
王者荣耀体验服12.18有什么更新
9.9 -
How to play Genshin Impact Twilight Seeking Spirit Weaving Scroll? Introduction to Genshin Impact Twilight Seeking Spirit Weaving Scroll activity
9.9 -
How to get the ciliates in S.T.A.L.D. 2: Heart of Chernobyl
8.8 -
How to play Genshin Impact: Twilight Soul Weaving
9.9 -
How about the original god Xitela Li
8.8 -
There is a house deep in the Peach Blossom Land. What Easter eggs are there in Langhuan Hua Pavilion? Introduction to the architectural Easter eggs in Langhuan Hua Pavilion
9.9